Browse resources in English
Filter results
You can narrow down the results using the filters
Language
Audience
Type
Topics
5 results
-
Mpango wa Kitaifa wa Uchunguzi wa Mlango wa Uzazi - Jinsi ya kukusanya kipimo chako mwenyewe (rahisi)
Huu ni mwongozo rahisi wa kuona ili kuwasaidia watu kuelewa jinsi ya kukusanya kipimo chao cha uke mwenyewe ikiwa wanachagua kujikusanya kama chaguo la uchunguzi kwa ajili ya Kipimo chao cha Uchunguzi wa Mlango wa Uzazi
-
Mpango wa Kitaifa wa Uchunguzi wa Mlango wa Uzazi - Kipimo cha Uchunguzi wa Mlango wa Uzazi - chaguzi zako zimeelezwa
Huu ni mwongozo wa kuona ili kuwasaidia watu kuelewa chaguzi zao kwa ajili ya uchunguzi wa mlango wa uzazi -
Mpango wa Kitaifa wa Uchunguzi wa Mlango wa Uzazi - Kuelewa majibu yako ya Kipimo cha Uchunguzi wa Mlango wa Uzazi
Huu ni mwongozo wa kuona ili kuwasaidia watu kuelewa majibu yao ya Kipimo cha Uchunguzi wa Mlango wa Uzazi -
Mpango wa Kitaifa wa Uchunguzi wa Mlango wa Uzazi - Nini huwa kinatokea wakati mtoa huduma wangu wa afya anapochukua kipimo changu
Huu ni mwongozo rahisi wa kuona ili kuwasaidia watu kuelewa mchakato wanapochagua kuwa mtoa huduma wa afya akusanye kipimo chao cha Uchunguzi wa Mlango wa Uzazi -
Programu ya Kitaifa ya Uchunguzi wa Mlango wa Uzazi – Bango la Kansa ya Mlango wa Uzazi Inaweza Kuzuilika
Bango hili linakumbusha wagonjwa kufanya uchunguzi wao wa mlango wa uzazi.