Mpango wa Kitaifa wa Uchunguzi wa Mlango wa Uzazi - Jinsi ya kukusanya kipimo chako mwenyewe (rahisi)

Huu ni mwongozo rahisi wa kuona ili kuwasaidia watu kuelewa jinsi ya kukusanya kipimo chao cha uke mwenyewe ikiwa wanachagua kujikusanya kama chaguo la uchunguzi kwa ajili ya Kipimo chao cha Uchunguzi wa Mlango wa Uzazi

Help us improve health.gov.au

If you would like a response please provide an email address. Your email address is covered by our privacy policy.