The government is now operating in accordance with the Guidance on Caretaker Conventions, pending the outcome of the 2025 federal election.

Kupimwa kwa COVID-19

Kupimwa mapema kuna maana, kama unaugua COVID-19, kwamba unaweza kuepuka kueneza virusi kwa mtu mwingine.

Wakati wa kupimwa

Unapaswa kupimwa ikiwa una dalili zozote za COVID-19.

Aina za vipimo vya COVID-19

Kuna aina 2 za vipimo zinazoweza kugundua kama una virusi ya COVID-19:

  1. vipimo vya haraka ya antijeni ya kujifanya (RATs)
  2. mmenyuko wa mnyororo wa polymerase (PCR, au RT-PCR)

Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi upimaji wa COVID-19 unavyofanya kazi.

Mahali pa kupata kipimo

Unaweza kufanya kipimo cha RAT nyumbani. Maduka ya dawa, au wauzaji reja reja ikiwa ni pamoja na maduka makubwa na baadhi ya vituo vya mafuta huuza vipimo hivi.

Soma mwongozo kuhusu:

Ili kupata kipimo cha PCR, utahitaji kuwasiliana na GP kwa mwelekezo au kutembelea kliniki ya upimaji wa COVID-19 ikiwa inapatikana katika jimbo lako au wilaya.

Tembelea idara ya afya ya mtaa wako ili kupata orodha ya kliniki za kupima karibu nawe.

Date last updated:

Help us improve health.gov.au

If you would like a response please use the enquiries form instead.