Halo, jina langu ni Sankeita na mimi ni muuguzi.
Nitaelezea jinsi tunavyojua chanjo za COVID-19 za
Australia ni salama na zinafaa.
Chanjo za COVID-19 zilizoidhinishwa kwa matumizi nchini
Australia ziliweza kuendelezwa haraka kwa viwango vya
juu, kwa sababu ya utafiti na wanasayansi duniani kote kufanya
kazi pamoja, na viwango vya juu vya ufadhili
na upatikanaji wa teknolojia mpya.
Australia ina usalama mkali, ufanisi na
utengenezaji wa chanjo.utengenezaji wa chanjo.
Chanjo za COVID-19 za Australia zimepita
Utawala wa Bidhaa za Kimatibabu, vipimo kali,
ambayo inamaanisha kuwa ni salama na yenye ufanisi katika
kuzuia watu wasiugue sana na hata kufa.
Chanjo zitakulinda, familia yako na jamii.
Kwa habari zaidi juu ya chanjo za COVID-19 angalia
health.gov.au/covid19-vaccines au piga simu kwa
Msaada wa Kitaifa wa Coronavirus kwenye 1800 020 080.
Huduma ya kutafsiri na ukalimani piga simu 131 450.