COVID-19 vaccination – Video – Usalama/njia za usalama (COVID-19 vaccine safety and approval process)
1:18
Read transcript

Halo, jina langu ni Sankeita na mimi ni muuguzi.

Nitaelezea jinsi tunavyojua chanjo za COVID-19 za

Australia ni salama na zinafaa.

Chanjo za COVID-19 zilizoidhinishwa kwa matumizi nchini

Australia ziliweza kuendelezwa haraka kwa viwango vya

juu, kwa sababu ya utafiti na wanasayansi duniani kote kufanya

kazi pamoja, na viwango vya juu vya ufadhili

na upatikanaji wa teknolojia mpya.

Australia ina usalama mkali, ufanisi na

utengenezaji wa chanjo.utengenezaji wa chanjo.

Chanjo za COVID-19 za Australia zimepita

Utawala wa Bidhaa za Kimatibabu, vipimo kali,

ambayo inamaanisha kuwa ni salama na yenye ufanisi katika

kuzuia watu wasiugue sana na hata kufa.

Chanjo zitakulinda, familia yako na jamii.

Kwa habari zaidi juu ya chanjo za COVID-19 angalia

health.gov.au/covid19-vaccines au piga simu kwa

Msaada wa Kitaifa wa Coronavirus kwenye 1800 020 080.

Huduma ya kutafsiri na ukalimani piga simu 131 450.