Downloads
Jaribio kali la Utawala wa Bidhaa za Tiba la Australia la chanjo za COVID-19 zinahakikisha kuwa chanjo zilizoidhinishwa ni salama na zenye ufanisi.
Chanjo zote zinajaribiwa kabisa kwa usalama kabla ya kupitishwa kutumiwa Australia.
Chanjo za COVID-19 huzuia magonjwa mazito na kifo na husaidia kulinda wewe, familia yako na jamii.
COVID-19 Kwa habari zaidi piga 1800 020 080.
Kwa huduma za ukalimani na kutafsiri piga simu 131 450.
Publication date:
Duration:
0:45
Audience:
General public